KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Monday, February 25, 2013

WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU WA MADHEHEBU YA BOHRA WAKIPITA KWA MAANDAMANO KATIKA MITAA MBALIMBALI YA JIJI LA DAR ES SALAAM IKIWA NI KUADHIMISHA KUZALIWA KWA KIONGOZI WAO MKUU,DK,SYEDINA MOHAMED BURHANUDDIN SAHEB (TUS) AMBAYE AMETIMIZA MIAKA 102 TOKA KUZALIWA,


























Katika maadhimisho haya na maandamano wamesisitiza amani na upendo kwa kila mtu anayeishi kwewnye ardhi ya Tanzania.
Maandamano haya yaliratibiwa na Katibu wa Burhani Guards.
Waandamanaji wamesema nchi nzuri ni ile watu wake wanaotii Sheria za nchi, kumpenda mwenyezi Mungu wakati wote wa maisha ya kila siku.
Muhimu zaidi kufanya Ibada kwa wakati wake. 

No comments: