Rais Kikwete akipata maelezo
Rais Kikwete akiangalia mitambo ya kugundua dawa feki.
Waheshimiwa Wabunge.
Rais Kikwete akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mamalaka ya Chakula na Dawa TFDA,Hiiti Sillo (katikati)
Rais Kikwete akizungumza baada ya Uzinduzi.
Rais Kikwete akionesha zawadi ya Tuzo baada ya kukabidhiwa na naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk,Seif Rashid (kulia).
Rais Kikwete akionesha zawadi ya Tuzo baada ya kukabidhiwa na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk,Seif Rashid (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mamalaka ya Chakula na Dawa TFDA,Hiiti Sillo (kushoto).
Rais Kikwete akionesha zawadi ya Tuzo baada ya kukabidhiwa na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk,Seif Rashid (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mamalaka ya Chakula na Dawa TFDA,Hiiti Sillo (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Ramadhani Madabida.
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali baada ya kuzindua maabara ya TFDA.
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali baada ya kuzindua maabara ya TFDA.
Wafanyakazi wa TFDA wakisubiri kumpa mkono Rais Kikwete.
Rais Kikwete akiangalia vidonge vilivyotengenezwa kwa unga wa mahindi na kunaswa na wataalamu wa TFDA.
Rais Kikwete akipewa maelezo ya dawa feki
Rais Kikwete akiangalia kopo lililohifadhiwa vidonge feki
Vidonge feki vilivyonaswa na wataalamu wa TFDA,Rais Kikwete akipata maelezo.
No comments:
Post a Comment