Mkurugenzi wa Mauzo wa Double Tree Hilton Dar es Salaam,Florenso Kirambata,(kulia) na Meneja Mkuu Sven Lippinghof(katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya Mikocheni A kabla ya kukabidhiwa taa za kusomea zinazotumia mionzi ya jua.
Wanafunzi wakisubili mgao wa taa.
Meneja Mkuu Sven Lippinghof,akiwaonesha wanafunzi moja ya taa walizowapa
Mkurugenzi wa Mauzo wa Double Tree Hilton Dar es Salaam,Florenso Kirambata,(kulia) na Meneja Mkuu Sven Lippinghof (katikati) wakimkabidhi Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Mikocheni A Salehe Makwiro(kushoto) sehemu ya taa 200 kabla ya kugawa kwa wanafunzi.
Mkurugenzi wa Mauzo wa Double Tree Hilton Dar es Salaam,Florenso Kirambata,(kushoto) akiwafundisha wanafunzi jinsi ya kutumia taa.
No comments:
Post a Comment