Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata
ukanda kuzindua rasmi taarifa ya utafiti wa viashiria vya ukimwi na malaria
mwaka 2012 Dar es salaam.Kulia kwake ni Waziri Mkuu Mhe
Mizengo Pinda na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadiki. Kushoto
kwake ni Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiri Ukimwi (TACAIDS) Mama Fatma Mrisho na Waziri wa Nchi Ofisi
ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu
na Bunge), Mhe William Lukuvi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akinyanyua
juu baada ya taarifa ya utafiti wa viashiria vya ukimwei na malaria mwaka
2012 jijini Dar es salaam.Kulia kwake ni Waziri Mkuu Mhe
Mizengo Pinda', Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiri Ukimwi (TACAIDS)
Mama Fatma Mrisho.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa kuzindua rasmi taarifa ya utafiti wa viashiria vya ukimwei na malaria mwaka 2012 Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia
baada ya kuzindua rasmi taarifa ya utafiti wa viashiria vya ukimwei na
malaria mwaka 2012 Dar es
salaam.Kulia kwake ni Waziri Mkuu Mhe
Mizengo Pinda na kushoto kwake ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Hussein
Mwinyi, Waziri wa Fedha Dkt William Mgimwa.
Wadau kutoka sekta mbalimbali
wakiangalia matangazo ya kupiga vita UKIMWI na Malaria wakati wa uzinduzi rasmi
wa taarifa ya utafiti wa viashiria vya ukimwei na malaria mwaka 2012 Dar es Salaam.
Wadau kutoka sekta mbalimbali
wakiangalia matangazo ya kupiga vita UKIMWI na Malaria wakati wa uzinduzi rasmi
wa taarifa ya utafiti wa viashiria vya ukimwei na malaria mwaka 2012 Dar es Salaam.
Meza kuu ikimsikiliza kwa makini
Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiri Ukimwi (TACAIDS) Mama Fatma Mrisho akisoma
taarifa ya utafiti wa viashiria vya ukimwei na malaria mwaka 2012 Dar es Salaam.(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment