KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Friday, March 29, 2013

UJENZI USIO NA VIWANGO WASABABISHA GHOROFA KUPOROMOKA NA KUUA,KUJERUHI WATU KADHAA DAR ES SALAAM.

Chama cha Makandarasi nchini je mpo ?. munasemaje mambo haya,mnatoa ruhusa kwa wahusika?.
 Wahusika wa wafuatiliaji wa ujenzi je walifanya hivyo.
 Mtaa tukio lilipotokea.
 Wahusika wamiliki wa jengo kama ubao unavyoonesha.

 Bango la mhandisi aliyeshiriki ujenzi.
 Sehemu ya jengo.
 Wananchi wakiangalia jengo kwa uzuni.
 Nondo zilizotumika kujengea ambazo siyo bora.
wananchi wakipokezana matofali ili kuokoa walioporomokewa.
 Askari wa JKT wakienda kusaidia uokoaji.
 Wananchi wakiangalia.
 Moja ya gari lililoangukiwa na kuharibika kabisa.
 Askari wa JKT na raia wakisukuma gari hilo.
Waokoaji wakiutoa mwili wa mmoja waliohadhilika na kupoteza maisha.
Mwili wa mmoja wa waliokumbwa na janga na kupoteza maisha.

No comments: