Mkurugenzi
wa Hoteli ya Sapphire Court ya Jijini Dar es Salaam, Abdulfatah Salim (kulia)
akimkabidhi sehemu ya vifaa vya michezo, Nahodha wa timu ya wamiliki wa
Magazeti 'Tando' Blogers Fc, Muhidin Sufiani,(kushoto)
kwa ajili ya kushiriki katika Bonanza maalum la waandishi Media Day
linalofanyika kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni. Katikati ni
Meneja wa muda wa timu hiyo, Mroki Mroki. Timu hiyo ambayo inashiriki kwa mara
ya kwanza katika michezo na bonanza hilo, inatarajia kushiriki katika
michezo yote itakayo chezwa, ikiwa ni pamoja na Soka, Netiboli,
Kukimbiza Kuku, Kukimbia na Magunia, Kuvuta Kamba, Kucheza Pool, Kuimba na
Kudansi 'Sebene' na mingineyo.
Makabidhiano yakiendelea, hii ni Jezi ya Kipa
Nahodha
wa timu hiyo Sufiani (kushoto) akiwa na Meneja wa muda wa timu hiyo,
Mroki Mroki, wakiwa na Vifaa vilivyokabidhiwa.
No comments:
Post a Comment