Rais Kakaya Kikwete akizungumza baada ya kutoa hati za shukrani kwa washiriki wa zoezi la Uokoaji na Uopoaji.
Rais Jakaya Kikwete akizungumza.
Viongozi wa madhehebu ya dini mbalimbali na wananchi waliohudhulia.
Muopoaji mashuhuri aliyefanya kazi ya kutambua miili ilipo kwa kutumia fimbo,Yusuf Abubakar Kassim(katikati)
Maofisa wa Jeshi la Polisi wakifuatilia.
Wanajeshi la Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JWTZ)
Vikosi vya Uokoaji na Uopoaji cha Knight Support (mbele) na makamanda wengine nyuma.
JWTZ
Makamanda wa Kikosi cha Jeshi la Zimamoto,kutoka kushoto,Kamishna wa Oparesheni,Rogatius Kipali,Kamishna wa moto, Fikiri Salla na Bakari Kassa Mrisho.
Askari na Wahusika wengine.
Askari Zimamoto
Askari Kikosi cha FFU.
Kamanda Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Suleiman Kova(kushoto),Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa Meck Sadiq, Waziri wa nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa)Hawa Ghasia na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema (kulia)
Viongozi wa dini kutoka kushoto George Fupe wa KKKT Msaidizi wa Askofu na Shekhe Alhadi Salumu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam kutoka kushoto Raymond Mushi wa Ilala,Jordan Rugimbana wa Kinondoni na Sophia Mjeama wa Temeke.
Shekhe Alhadi Salum.
Msaidizi wa Askofu George Fupe.
Shekhe Alidina wa Shia.
Rais akiwasalimia askari wa JWTZ.
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi hati Mhariri wa habari wa chanel ten Esther Zelamula.kwa niaba ya Vyombo vya habari.
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi hati Yusuf Abubakari Kassim Mwakilishi wa wananchi katika Uokoaji na Uopoaji.(PICHA NA TANZANIA LIVE BLOG)
No comments:
Post a Comment