Kikosi cha kwanza cha As Far Rabat Fc ya Morocco.
Mchezaji wa Azam Fc,John Bocco akijaribu kumtoka mchezaji,Yassine El Kordy wa As Far Rabat Fc.
Mchezaji wa Azam Fc,Salum Abubakar akipambana na mchezaji,Mohammed El Bakkali wa As Far Rabat.
Mchezaji,Kipre Tchetche akijaribu kuyatumia makosa ya kipa,Ali Grouni wa As Far Rabat baada ya kuacha goli wazi.
Mchezaji Nahodha,Mustapha Mrani wa As Far Rabat akiuwania mpira,huku mchezaji Humphrey Mieno (kulia) wa Zam Fc akiuwania na Khamis Mcha (kushoto).
Beki Yassine El Kordy (mwenye mpira kulia) wa As Far Rabat Fc ya Morocco akijitahidi kuokoa hatari iliyosababishwa na mchezaji,Kipre Tchetche wa Azam Fc.
Mchezaji,Salum Abubakar (kulia) akimtoka mchezaji,Mohammed El Bakkali wa As Far Rabat ya Morocco.
No comments:
Post a Comment