KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Wednesday, April 10, 2013

KIKAO CHA KAZI NA WAKAGUZI WA NDANI WA" LOCAL GOVERNMENT MANAGEMENT SECTIO" KWENYE SEKRETARIET ZA MIKOA TANZANIA BARA KWA SIKU TATU CHAFANYIKA DAR ES SALAAM.

Washiriki kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara na Viongozi Wakaguzi wakiwa katika picha ya pamoja.
Mgeni rasmi Kaimu Mkaguzi wa ndani wa Serikali,Constantine Mashoko akifungua kikao,Wengine kutoka kushoto ni Mkaguzi wa Ndani Idara ya Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali,Omari Msuya,Kaimu Mkaguzi,Vicky Jengo na Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali Msaidizi,Amin Mcharo.


Washiriki wakifuatilia.
Washiriki wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi.

Washiriki wakiwajibika kwa kuandika mambo mbalimbali wakati wa kikao.
Washiriki wa kikao wakifuatilia katika kikao.
Washiriki wa kikao kutoka mikoa mbalimbali nchini.
Wafanyakazi wa Ofisi ya IAG Kitengo cha LGA wakitoa huduma kwa washiriki wa kikao hicho.(PICHA NA TANZANIA LIVE BLOG).

No comments: