Mmoja wa ndugu akifungua jeneza ili kuhakikisha kama kweli mwili uliopo humo ni wa Leonard Tambalu aliyefia nchini China.
Wafanyakazi wa upande wa mizigo Uwanja wa ndege Dar es Salaam pamoja na ndugu wakiuangalia mwili wa Tambalu baada ya kufungua jeneza.
Wafanyakazi wa upande wa mizigo Uwanja wa ndege Dar es Salaam pamoja na ndugu wakiuangalia mwili wa Tambalu baada ya kufungua jeneza.
Wahusika wakibeba jeneza lenye mwili wa Tambalu Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam.
Ndugu na jamaa wa marehemu wakilia kwa uchungu walipoona jeneza lililobeba mwili wa Tambalu.
Gari lililobeba mwili.wa Leonard Tambalu.
Ndugu,Jamaa na Marafiki wakibeba jeneza lenye mwili wa Leonard Tambalu, kwa ajili ya kuupakia ndani ya gari kuupeleka hospitali.(PICHA NA TANZANIA LIVE BLOG)
No comments:
Post a Comment