Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akihutubia katika sherehe za uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa
miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya
Marekani kupitia MCC katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya
Kongwa mkoani Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akihutubia katika sherehe za uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa
miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya
Marekani kupitia MCC katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya
Kongwa mkoani Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes aliyemponegza kwa hotuba nzuri ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akifunua pazia huku Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia
(MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes na Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso
Lendhardt wakimponegza kwa ishsra hiyo ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati
na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya
serikali ya Marekani kupitia MCC katika kijiji cha Mkoka,
wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akibofya kitufe huku akishuhudiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto
za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes na Balozi wa Marekani nchini
Mhe Alfonso Lendhardt wakishuhudia uzinduzi huo wa mradi wa ukarabati na
upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya
serikali ya Marekani kupitia MCC katika kijiji cha Mkoka,
wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu
wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto
za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes katika picha ya pamoja na viongozi
na wadau mbalimbali katika sherehe ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi
wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali
ya Marekani kupitia MCC katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya
Kongwa mkoani Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiondoka
baada ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza
umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.(PICHA NA IKULU).
No comments:
Post a Comment