KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Sunday, April 14, 2013

RAIS DK, ALI MOHAMED SHEIN, AFUNGUA NYUMBA YA WALIMU.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wazee na Wananchi alipowasili
Skuli ya Kusini Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja leo, kuifungua
Nyumba ya Walimu,iliyojengwa na Jumuiya ya Maendeleo ya Makunduchi
Mzuri kaja,kwa ushirikiano na Jumuiya ya Bus 4 Afrika,ya nchini
Sweden,


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe  kuifungua Nyumba ya Walimu Skuli
ya Kusini Makunduchi leo, iliyojengwa na Jumuiya ya ya Maendeleo ya
Makunduchi Mzuri kaja,kwa ushirikiano na Jumuiya ya Bus 4 Afrika,yenye
Makao Makuu yake nchini Sweden.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa Jumuiya  ya
Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja, Maalim Rashid Makame
Shamsi,(kulia) alipotembelea Nyumba ya Walimu baada ya kufungua leo
huko Skuli ya Kusini Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na Mwakilishi wa Jimbo
Makunduchi pia Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika
Maalim Haroun Ali Suleiman,baada ya kuifungua Nyumba ya Walimu ya
Skuli ya Kusini Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.

Baadhi ya Wazee na Wanafunzi wa Skuli ya Kusini Makunduchi
Wilaya ya Kusini Unguja,wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Nyumba ya
Walimu, iliyojengwa na Jumuiya ya  Maendeleo ya Makunduchi Mzuri
kaja,kwa ushirikiano na Jumuiya ya Bus 4 Afrika,ya nchini
Sweden.


Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe ya
Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu,Skuli ya Kusini Makunduchi iliyojengwa na
Jumuiya ya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,kwa ushirikiano na
Jumuiya ya Bus 4 Afrika,ya nchini Sweden,wakifuatilia kwa makini
harakati za sherehe hiyo ilivyoendelea katika viwanja vya skuli hiyo.


Wanakikundi cha mazoezi ya Viungo  cha Jitenge,wakionesha
mtindo wao wa Mazoezi wakati wa sherehe za Ufunguzi wa  Nyumba ya
Walimu,Skuli ya Kusini Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja,akiwa mgeni
Rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein.


Katibu wa Jumuiya ya  Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,
Maalim Rashid Makame Shamsi, akisoma risala ya wanajumuiya wakati wa
sherehe ya Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu,Skuli ya Kusini Makunduchi
Wilaya ya Kusini Unguja iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.


Baadhi ya Viongozi mbali mbali walioalikwa katika sherehe
za ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Skuli ya Kusini Makunduchi Wilaya ya
Kusini Unguja leo,wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,aliyoitoa
mbele ya wananchi katika sherehe hiyo.


Mwakilishi wa Jumuiya ya Bus 4 Afrika yenye Makao Makuu
yake Nchini Sweden Bibi Hannah Mc Carrick,akitoa salam wakati wa
Sherehe ya Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Skuli ya Kusini
Makunduchi,iliyojengwa na Jumuiya hiyo na Ushirikiano wa Jumuiya ya
Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja, iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi cheti Mwakilishi wa Jumuiya ya Bus 4
Afrika yenye Makao Makuu yake Nchini Sweden Bibi Hannah Mc
Carrick,wakati wa Sherehe ya Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Skuli ya
Kusini Makunduchi,Wilaya ya Kusini Unguja.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,akimkabidhi cheti Mstaafu Diwani Ameir Simai Pope,wakati
wa Sherehe ya Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Skuli ya Kusini
Makunduchi,Wilaya ya Kusini Unguja.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi cheti Mwenyekiti wa  Jumuiya ya
Maendeleo ya Makundhuchi Mzurikaja,Mzee Haji Setti,wakati wa Sherehe
ya Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Skuli ya Kusini Makunduchi,Wilaya ya
Kusini Unguja.


Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Ali Juma
Shamuhuna,akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kuzungumza na Wananchi na Wanajumuiya
ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,Wilaya ya Kusini Unguja, wakati
wa Sherehe ya Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Skuli ya Kusini Makunduchi.



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wananchi na Wanajumuiya ya
Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,Wilaya ya Kusini Unguja, wakati wa
Sherehe ya Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Skuli ya Kusini Makunduchi,
iliyojengwa na Jumuiya ya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,kwa
ushirikiano na Jumuiya ya Bus 4 Afrika ya Sweden. [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]

No comments: