Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akielekea kufungua barabara ya Tanga –
Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14
akiwa ameongiozana na Naibu waziri wa wizara ya ujenzi, Mhe Gerson Lwenge
(kulia), Bw. Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto
za Milenia wa Marekani (MCC), Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso Lenhardt,
na mkuu wa mkoa wa Tanga Mhe Chiku Gallawa (kushoto)
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifungua
rasmi barabara ya Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami
ikiwa na urefu wa kilomita 65.14 akisaidiana na Bw. Daniel Wolde Yohannes,
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC), Balozi wa
Marekani nchini Mhe Alfonso Lenhardt, Barabara hii ya Tanga – Horohoro ni
sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia
mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia
Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation – MCC).
Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu ya Nne
ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara. Aidha, kukamilika
kwa barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na
hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika
Mashariki.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia baada ya kufungua rasmi barabara ya
Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa
kilomita 65.14 akiwa na Bw. Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa Mfuko
wa Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC), Balozi wa Marekani nchini Mhe
Alfonso Lenhardt, Barabara hii ya Tanga – Horohoro ni sehemu ya barabara
inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga.
Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia Mfuko wa
Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation – MCC). Kukamilika kwa
barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha
miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara. Aidha, kukamilika kwa barabara
hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia
vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipanda mti kama kumbukumbu yaq ufunguzi rasmi
barabara ya Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa
na urefu wa kilomita 65.14. Kuhsorto kwake ni Bw. Daniel Wolde Yohannes,
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC), na kulia kwake
ni Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso Lenhardt, Barabara hii ya
Tanga – Horohoro ni sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani
ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya
Marekani kupitia Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge
Corporation – MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma ya
Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa
barabara. Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za kibiashara
kati ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja
la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Bw. Daniel
Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani
(MCC) na viongozi na wadau mbalimbali wakikata utepe kwa pamoja kuashiria
uzinduzi rasmi wa barabara ya Tanga – Horohoro ambayo
imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14. Barabara
hii ya Tanga – Horohoro ni sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania na
nchi jirani ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa
Serikali ya Marekani kupitia Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium
Challenge Corporation – MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa
azma ya Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa
barabara. Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za
kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za
Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Msafara
wa Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ukipita juu ya sehemu ya barabara ya Tanga –
Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita
65.14. Barabara hii ya Tanga – Horohoro ni sehemu ya barabara
inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga.
Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia Mfuko wa
Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation – MCC). Kukamilika kwa
barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha
miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara. Aidha, kukamilika kwa barabara
hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia
vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Msafara
wa Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ukipita juu ya sehemu ya barabara ya Tanga –
Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita
65.14. Barabara hii ya Tanga – Horohoro ni sehemu ya barabara
inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga.
Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia Mfuko wa
Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation – MCC). Kukamilika kwa
barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha
miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara. Aidha, kukamilika kwa barabara
hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia
vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
PICHA NA
IKULU
No comments:
Post a Comment