Rais wa Zanzibar Dk,Ali Mohammed Shein (katikati)
Rais Jakaya Kikwete (wa pili kulia) wakiomba Dua na viongozi wengine,Rais wa Zanzibar Dk,Shein (kulia),makamu wa kwanza wa rais Seif Sharif (wa pili kushoto) na makamu wa pili Balozi Seif Ali.
Waheshimiwa wakiswalia mwili wa Bibi Kidude.
Wakazi wa maeneo ya karibu na mbali wakibeba jeneza lenye mwili wa bibi Kidude.
Kinamama wakiwa kwenye msiba.
No comments:
Post a Comment