Kiwanda Cha Nondo cha Dar Steel Iron Mills Ltd.
Sehemu ya Nondo za Kiwanda cha Dar Steel Iron Mills.
Kiwanda cha Dar Steel Iron Mills.
Maofisa wa Shirika la Viwango Nchini (TBS) Mwanasheria wa Baptister Bitaho(kushoto suti) Msimamizi wa A.M Group Of Campanies,Sunil Patel (katikati) Mkaguzi wa TBS,Yona Afrika (wa pili kulia)
Maofisa wa Shirika la Viwango Nchini (TBS) Mwanasheria wa Baptister Bitaho(kushoto suti) Msimamizi wa A.M Group Of Campanies,Sunil Patel (katikati) Mkaguzi wa TBS,Yona Afrika (wa pili kulia)
Ofisi ya A.M Steel.
Wakitembelea sehemu ya uzalishaji.
Maofisa wa TBS na msimamizi wa Kiwanda cha A.M Steel.
Nguvu kazi ambao hawajaliwi katika Kiwanda cha Dar Steel,wengine wakiwa na majeraha ya moto hawajapatiwa matibabu wapo na vidonda kazini (wapili kushoto waliokaa)
Jiko la kuyeyusha Chuma.ambavyo vinakuwa mfano wa uji kabla ya kutengeneza nondo.
Mfanyakazi wa A.M akitoa nondo iliyoshika moto kwa kutumia chuma ambapo ni hatari kwa usalama wake.
Nondo ambazo zimewiva na moto mkali zikitolewa jikoni na wafanyakazi ambao hawana vitendea kazi sahihi na kupelekea kuhatarisha usalama wao.
Box la dawa za huduma ya kwanza ambalo halina dawa kwa ndani.
Box linalowekwa dawa za huduma ya kwanza ambalo limewekwa geresha toto hamna kitu humu.
Vyuma vilivyotayarishwa kuyeyushwa na kutengeneza Nondo.
Baadhi ya Vyuma chakavu ambavyo havina ubora wa kutengeneza nondo.
Nguvu kazi wa A.M wakiwa mbele ya vyuma chakavu baadhi feki vinavyotarajiwa kuyeyushwa na kuwa chuma ambacho kitazaa nondo. (PICHA NA TANZANIA LIVE BLOG)
No comments:
Post a Comment