KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Thursday, May 2, 2013

MAANDAMANO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI YAFANA DAR ES SALAAM WAFANYAKAZI WAJITOKEZA KWA WINGI.

 
 wafanyakazi wa Mamalaka ya Chakula na Dawa wakiwa katika picha ya pamoja baada ya maandamano.

 TFDA wakipita mbele ya mgeni Viwanja vya mnazi mmoja Dar es Salaam
 TFDA wakiwa na bango lao

 Wafanyakazi wa Shirika la ndege Tanzania ATCL wakipita na bango.

Wafanyakazi wa Azam
Wafanyakazi wa Benki Kuu Tanzania BOT
Wafanyakazi wa Tanzania Breweries Ltd (TBL)
Wafanyakazi wa Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA)

Wafanyakazi wa TSN
TSN
 Wafanyakazi wa Magazeti ya Serikali ya Daily News,Habarileo na Spotileo TSN wakiwa katika maandamano.
Wafanyakazi wa TSN wakiwa na nakala za magazeti yao.

No comments: