KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Sunday, May 5, 2013

IGP AWAVISHA NISHANI MAOFISA, WAKAGUZI NA SKARI.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akikagua gwaride lililoandaliwa rasmi kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akikagua gwaride lililoandaliwa rasmi kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akikagua gwaride lililoandaliwa rasmi kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema(kushoto) na Mkuu wa Chuo cha cha Polisi Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Ali Lugendo wakirudi jukwaa kuu baada ya IGP kukagua gwaride lililoandaliwa rasmi kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika Dar es Salaam.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania, Afisa Mnadhimu idara ya Upelelezi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Brown Lekey kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika Dar es Salaam.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania, Mkuu wa Kitengo cha maadili, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Patrick Byatao kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika Dar es Salaam.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi mrefu Tanzania, Mkuu wa Mafunzo wa Jeshi la Polisi Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Elice Mapunda kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi mrefu Tanzania, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Charles Kenyela kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi mrefu na tabia njema, Sajini Meja kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya Mwenge wa Uhuru daraja la nne, Mrakibu Mwandamizi, Athumani Mwambalaswa kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika  Dar es Salaam.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya mwenge wa uhuru daraja la nne, Sajini Martha Njau kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika  Dar es Salaam. (PICHA NA HASSAN MNDEME-JESHI LA POLISI)

No comments: