Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akizingumza na Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mzee Benjamin
Mkapa na Waziri Mkuu Mstaafu na Katibu Mkuu wa Umoja wa Afrika Mstaafu
Dkt Salim Ahmed Salim kuhusiana na sherehe za miaka 50 ya AU alipokutana
nao jijini Addis Ababa, Ethiopia, Viongozi hao
wastaafu ni miongoni mwa wageni mashuhuri walioaliokwa kwenye sherehe
hizo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akizungumza na wanahabari baada ya kuhudhuria Mkutano wa Kanda wa
Usimamizi wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika DRC na nchi za Maziwa
Makuu katika makao makuu ya Umoja wa Afrika.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Mkutano
wa Kanda wa Usimamizi wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika DRC na
nchi za Maziwa Makuu katika makao makuu ya Umoja wa Afrika.

nchi za Maziwa Makuu katika makao makuu ya Umoja wa Afrika.(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment