RAIS KIKWETE ATEMBELEA MAJERUHI WALIOUMIA KWA BOMU KANISANI OLASITI WANAOTIBIWA HOSPITALI YA MOUNT MERU ARUSHA
Taswira wakatia Rais Kikwete alipotembelea hospitali ya Mount Meru Arusha kufariji
majeruhi wa mlipuko wa bomu katika kanisa la Olasiti jijini humo Jumapili
iliyopita (PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment