KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Thursday, May 9, 2013

SHEKHE PONDA ISSA PONDA,AHUKUMIWA KIFUNGO CHA NJE MWAKA MMOJA,ARIDHISHWA NA HUKUMU DHIDI YAKE.

 Shekhe Ponda akiwa chini ya ulinzi mkali wa askari Magereza baada ya hukumu ya kifungo cha nje mwaka mmoja.



 Shekhe Ponda akifungwa pingu na Askari Magereza baada ya hukumu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam.
 Wakiondoka ndani ya Mahakama.

 Ndugu,Jamaa na Marafiki wa Shekhe Ponda, wakimwaga chozi la furaha baada ya hukumu ya Shekhe Ponda.
 Ndugu,Jamaa na Marafiki wa Shekhe Ponda, akilia kwa furaha baada ya hukumu
 Ulinzi mkali wa Polisi ulitanda maeneo mbalimbali karibu na  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ili kuhakikisha na kuziba mianya ya vurugu.
 Ulinzi ulitawala kwa kiasi kikubwa.
 Wafuasi wa Shekhe Ponda wakisema Takibil kwenye barabara ya Bibi Titi Mohamed nje ya Mahakama ya Kisutu.
 Takibil.
 Takibil,Takibil,Takibil.
 Mzee wa Bufee akiandaa Kamera nje ya Mahakama ya Kisutu ili kunasa matukio ya wafuasi wa Shekhe Ponda.
 Wafanyakazi wa Ofisi zilizokaribu na Makama ya Kisutu wakiwa ghorofani wakifuatilia kuachiwa kwa Shekhe Ponda.
 Washawasha likiwa na shehena ya maji ya kuwasha.
 Fanya fujo uone FFU wapo tayari kwa kudhibiti lolote linalohusu fujo na ghasia Mahakamani Kisutu.
Farasi akiongozwa ili kudhibiti fujo kwa kutumia mateke yake ya kufa mtu Makamani Kisutu.(PICHA NA TANZANIA LIVE BLOG).

No comments: