Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Mamlaka ya
Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bw. Kabeho Solo akisaini kitabu
cha wageni katika banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwenye
maonyesho ya Wiki ya Hifadhi ya Jamii yanayoendelea katika viwanja vya Nyerere
mkoani Dodoma. Maonyesho hayo yameanza tarehe 13 Mei hadi 18 Mei.
No comments:
Post a Comment