Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana
na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,na Viongozi wengine
alipowasili katika uwanja wa Ukumbi wa Jamhuri Hall Wete Pemba katika mkutano wa kuwakabidhi kadi wanachama wapya 50 waliojiunga na
Chama hicho katika ziara ya kuimarisha chama Wilaya ya Wete Mkoa wa
Kaskazini Pemba.
Baadhi ya Viongozi walioungana na Ujumbe wa Ziara ya
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika kuimarisha Chama cha
Mapinduzi Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Vijana waliokaa chini ndio miongoni mwa vijana 50
waliojiunga na Chama chama Mapinduzi,wakisubiri kukabidhiwa kadi zao
za Chama na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika ziara ya
kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini
Pemba.
Wasoma Utenzi wa chama cha Mapinduzi Mkoa wa kaskazini
Pemba Fatma Juma Ramadhan,(kushoto) na Halima Juma Haji,wakihani
utenzi wao kutoa burudani wakati wa mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa
CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza na wananchi na wanachama katika
ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Wete Mkoa wa
Kaskazini Pemba,katika uwanja wa Jamhuri Hall Wete.
Msanii wa Kizazi kipya Iddi Thabit IT akitoa
burudani yake kwa wimbo maalum aliotunga wakati wa Ziara ya Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa na mazungumzo na wananchi
na wanachama katika Tawi la CCM Kipangani Wete, katika ziara ya
kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini
Pemba,katika uwanja wa Jamhuri Hall Wete.
Baadhi ya Wananchi na Wanachama wapya wa Tawi la CCM
Kipangani Wete,wakisikiliza Hotuba ya Makamu Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,aliyoitoa alipofanya Mkutano na wanachama hao
katika uwanja wa Jamhuri Hall Wete,akiwa katika ziara ya kuimarisha
Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Wete Mkoa wa kaskazini Pemba.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi
Kadi mwanachama Mpya wa CCM Amour Juma Makarani,akiwa katika miongoni
mwa Wanachama 50 aliowakabidhi kadi leo,akiwa katika ziara ya
kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Wete Mkoa wa kaskazini Pemba.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Kadi mwanachama Mpya wa CCM Khamis Akida Juma,akiwa katika miongoni mwa Wanachama 50 aliowakabidhi kadi, akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Wete Mkoa wa kaskazini Pemba.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Kadi mwanachama Mpya wa CCM Fatma Suleiman Said,akiwa katika miongoni mwa Wanachama 50 aliowakabidhi kadi, akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Wete Mkoa wa kaskazini Pemba.
Wanachama Wapya waliojiunga na CCM wakila kiapo cha Utii kwa chama baada ya kukabidhiwa kadi zao na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Wete Mkoa wa kaskazini Pemba.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) pamoja na Viongozi wa Chama wakila kiapo cha Utii wakatiwakuwaapisha wanachama wapya waliojiunga na CCM katika Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba,alipofanya zaiara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
Mwanachama Mpya aliyejiunga na CCM Amour
Suleiman,akijitambulisha kwa wanachama wa CCM Wilaya ya Wete,akifanya idadi ya wanachama Sitini na Moja waliojiengua Chama cha CUF,wakati wa
Mkutano allioufanya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama katika Wilaya hiyo baada ya kuweka jiwe la msingi tawi la CCM Kipangani.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali
Vuai,akimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kuzungumza na Wanachama na Wananchi wa Tawi la CCM Kipangani Wete, baada ya kuweka jiwe la msingi Tawi hilo, katika ziara ya kuimarisha Chama katika Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba,
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wanachama na Wananchi wa Tawi la CCM Kipangani
Wete, baada ya kuweka jiwe la msingi Tawi hilo, katika ziara ya kuimarisha Chama katika Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
No comments:
Post a Comment