Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa akiongea jambo na Mkurugenzi Mkuu wa
Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika (BADEA) Abdelaziz Khelef
wakati wa utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia Tanzania dola za
kimarekani 450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika maeneo ya
Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani Mara na dola za kimarekani
300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi kwa ajili ya kusaidia kituo
cha Hesabu cha Pan African kilichopo chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Utiaji saini huo ulifanyika leo katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini
Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa (kushoto) akimshukuru Mkurugenzi
Mkuu wa Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika (BADEA) Abdelaziz
Khelef mara baada ya kumalizika utiaji saini wa makubaliano ya
kuisaidia Tanzania dola za kimarekani 450,000/= kwa ajili ya miradi ya
maji katika maeneo ya Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani Mara na dola
za kimarekani 300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi kwa ajili ya
kusaidia kituo cha Hesabu cha Pan African kilichopo chuo Kikuu cha Dar
es Salaam. Utiaji saini huo ulifanyika leo katika Hoteli ya Hyatt
Regency jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya maofisa kutoka Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika
(BADEA) wakifuatilia utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia
Tanzania dola za kimarekani 450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika
maeneo ya Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani Mara na dola za
kimarekani 300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi kwa ajili ya
kusaidia kituo cha Hesabu cha Pan African kilichopo chuo Kikuu cha Dar
es Salaam. Utiaji saini huo ulifanyika leo katika Hoteli ya Hyatt
Regency jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Maji Prof. Jumanne Maghembe akipongeza Waziri wa Fedha Dk.
William Mgimwa (kushoto) mara baada ya kumalizika kwa utiaji saini wa
makubaliano ya kuisaidia Tanzania dola za kimarekani 450,000/= kwa
ajili ya miradi ya maji katika maeneo ya Mugango, Kiabakari na Butiama
mkoani Mara na dola za kimarekani 300,000/= kwa ajili ya msaada wa
kiufundi kwa ajili ya kusaidia kituo cha Hesabu cha Pan African
kilichopo chuo Kikuu cha Dar es Salaam yaliyofanyika leo katika Hoteli
ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Kuli ni Mkurugenzi Mkuu wa Benki
ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika (BADEA) Abdelaziz Khelef.
Baadhi ya maofisa kutoka Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika
(BADEA) wakifuatilia utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia
Tanzania dola za kimarekani 450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika
maeneo ya Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani Mara na dola za
kimarekani 300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi kwa ajili ya
kusaidia kituo cha Hesabu cha Pan African kilichopo chuo Kikuu cha Dar
es Salaam. Utiaji saini huo ulifanyika leo katika Hoteli ya Hyatt
Regency jijini Dar es Salaam.(Picha na Anna Nkinda - Maelezo).
No comments:
Post a Comment