KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Friday, July 19, 2013

RAIS KIKWETE AKUTANA NA PROFESA LIPUMBA IKULU DAR ES SALAAM.

 Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Profesa Ibrahimu Lipumba.
 Rais Kikwete na Profesa Ibrahimu Lipumba wakizungumza.
 Rais Kikwete akitoka nje ya Ikulu baada ya mazungumzo na profesa Ibrahimu Lipumba.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jana alikutana na Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF),Profesa Ibrahim Lipumba na kufanya naye mazungumzo Ikulu  Dar es Salaam.Mazungumzo hayo yalihusu masuala mbalimbali ya Siasa na Uchumi nchini.Pichani Rais Kikwete akiwa na Professa Lipumba katika nyakati tofauti  Ikulu Dar es Salaam. (Picha na Freddy Maro)

No comments: