Baadhi
ya wafanyakazi wa gazeti la HABARILEO, ambalo linachapishwa na Serikali
kupitia Kampuni yake ya Tanzania Standard Printa iliyo chini ya Kampuni
ya Tanzania Standard Newspapers (TSN) wakiwa katika picha ya pamoja na
Aliyekuwa Mhariri Mkuu wa gazeti hilo, Joseph Kulangwa ambaye ameacha
kazi rasmi leo Februari 28, 2014 na kuhamia Kampuni ya Uhuru
Publications inayomilikiwa na Chama cha Mapinduzi. TSN ni wachapaji wa
magazeti ya DAILY NEWS, SUNDAYNEWS, HABARILEO, HABARILEO JUMAPILI NA
SPOTILEO.
No comments:
Post a Comment