Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu
cha maombolezo wakati alipowasili kwenye hafla rasmi ya mazishi ya Mkuu wa Chuo
Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi Fulgence Kazaura katika ukumbi wa
Nkrumah Chuoni hapo Nyuma yake ni Makamu Mkuu wa Chuo
Kikuu Cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandara na Mkuu wa Mkoa wa Dar es
salaam Mhe saidi Meck Sadick.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na waombolezaji wengine
kwenye hafla rasmi ya mazishi ya Mkuu wa
Chuo Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi Fulgence Kazaura katika ukumbi wa
Nkrumah Chuoni hapo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za
mwisho kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es
salaam Marehemu Balozi Fulgence Kazaura katika ukumbi wa Nkrumah Chuoni hapo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji familia ya marehemu
kwenye hafla rasmi ya mazishi ya Mkuu wa
Chuo Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi Fulgence Kazaura katika ukumbi wa
Nkrumah Chuoni hapo.(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment