Viongozi,Wawezeshaji na baadhi ya wakuu wa Vyuo wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Semina ya siku tatu.
Mkurugenzi Mkuu wa VETE Mhandisi Zebadiah Moshi,akifunga Semina na kutoa shukurani kwa wawezeshaji na wakuu wa Vyuo.
Kaimu
Mkurugenzi Kanda ya Dar es Salaam VETA,Bernadetta Ndunguru,(kulia) akizungumza wakati wa kufunga semina.
Mkurugenzi wa Miradi wa International Youth Foundation
(IYF) Sarah Shebele akizungumza wakati wa kufunga Semina.
Washiriki wa Semina ambao ni baadhi ya wakuu wa Vyuo wakifuatilia jambo wakati wa semina.
Washiriki wa Semina ambao ni baadhi ya wakuu wa Vyuo wakifuatilia jambo wakati wa semina.
Washiriki wa Semina na baadhi ya Wakuu wa Vyuo wakifuatilia jambo wakati wa Semina.
Sehemu ya wawezeshaji na wanasemina wakifuatilia jambo wakati wa Semina.
Wakuu wa VETA na Wakuu wa Vyuo wakiwa katika Semina.
Viongozi wa VETA na Wawezeshaji wa Mradi wakibadilishana mawazo baada ya Semina ya Siku tatu iliyofanyika Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment