Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Asah Mwambene akizungumza wakati wa mkutano.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF,Adam Mayingu akizungumza wakati wa mkutano.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF,Adam Mayingu akizungumza
Baadhi ya maofisa wa PSPF wakifuatilia jambo wakati wa mkutano.
Baadhi ya maofisa wa PSPF wakifuatilia jambo wakati wa mkutano.
Baadhi ya maofisa wa PSPF na waandishi wakifuatilia jambo wakati wa mkutano.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF,Adam Mayingu,(kushoto) akizungumza.Mwengine ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Asah Mwambene.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF,Adam Mayingu (katikati) akizungumza.Kushoto Mkurugenzi wa Fedha na Utawala, Masha Mshomba na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Asah Mwambene.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF,Adam Mayingu (katikati)
akizungumza.Kushoto Mkurugenzi wa Fedha na Utawala, Masha Mshomba na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Asah Mwambene.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni (PSPF), Adam Mayingu (kushoto) na Mkurugenzi wa fedha na Utawala Masha Mshomba (wa pili kushoto) Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Asah Mwambene na Mkurugenzi wa Uendeshaji (PSPF),Neema Muro wakionesha tuzo za Kimataifa na Kitaifa wakati wa mkutano na waandishi uliofanyika Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Asah Mwambene (kulia) akizungumza na kuwashukuru Viongozi wa PSPF, Mkurugenzi wa fedha na Utawala Masha Mshomba(kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni (PSPF), Adam Mayingu.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni (PSPF), Adam Mayingu (wa pili kulia) Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Asah Mwambene (wapili kushoto)Ofisa Habari wa PSPF, Othuman Njaid na Mkurugenzi wa fedha na Utawala Masha Mshomba (kulia) wakibadilishana mawazo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni (PSPF), Adam Mayingu (wa pili kulia) Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Asah Mwambene (wapili kulia) Ofisa Habari wa PSPF, Othuman Njaid (kushoto) Mwandishi wa Daily News Deo Mushi (katikati) na Mkurugenzi wa fedha na Utawala Masha Mshomba (kulia).
Baadhi ya Maofisa wa PSPF wakiwa katika mkutano.
No comments:
Post a Comment