Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais
Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akimtambulisha kwa
Rais Museveni Mkuu wa Majeshi ya Tanzania Jenerali Davies Mwamunyange muda
mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere kwa ziara ya kikazi ya siku moja.Kushoto ni Inspekta Jenerali wa Polisi Ernest Mangu.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais
Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakikagua gwaride la Heshima lililoandaliwa na
jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Yoweri
Museveni wa Uganda wakiangalia ngoma za utamaduni.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda na kufanya naye
mazungumzo.Rais Museveni yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku
moja.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha
ikulu jijini Dar es Salaam Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda na kufanya naye
mazungumzo.Rais Museveni yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku
moja(Picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment