BANDA LA NSSF LAWA GUMZO MAONYESHO YA KIMATAIFA YA 39 (SABASABA) VIWANYA VYA MWALIMU NYERERE DAR ES SALAAM.
Mmoja wa wateja waliotembelea Banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika Maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba akihudumiwa na Meneja Kiongozi Masoko na Ushirikiano wa, Bi. Eunice Chiume (wa kwanza kulia mbele). Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakitoa huduma katika Banda lao kwenye maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba. Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakiwa katika Banda lao kwenye maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam tayari kwa kuwahudumia wateja wao. Baadhi ya wateja kwenye banda la NSSF kwenye maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam wakiangalia machapisho anuai ndani ya banda hilo. Baadhi ya wateja kwenye banda la NSSF kwenye maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam wakiangalia vipeperushi anuai ndani ya banda la NSSF. [/caption]WANACHAMA wote wa NSSF na wasio Wanachama Mnakaribishwa kujionea na kupata huduma mbalimbali zikiwemo, taarifa za jumla zinazohusu kujiandikisha uanachama, uwekezaji unaofanywa na Shirika, Maelezo kuhusu Bima ya afya itolewayo na NSSF,na kupata Kadi mpya.
No comments:
Post a Comment