KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Friday, September 1, 2017

UJUMBE WA CPC ULIPOKUTANA NA MANGULA DAR NA ULIPOTEMBELEA ENEO LA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA SIASA CHA MWALIMU NYERERE, KIBAHA.

Makamau Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula (kulia) akiongoza mazungumzo  baina yake na Naibu Waziri za Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Xu Luping (kulia) katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
 Makamau Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula akimkaribisha Naibu Waziri za Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Xu Luping, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam. Katikati ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole.
 Katibu wa NEC, Iikadi na Uenezi Humphrey Polepole akiwa tayari kumpokea Naibu Waziri za Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Xu Luping, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
 Katibu wa NEC, Iikadi na Uenezi Humphrey Polepole akimlaki Naibu Waziri za Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Xu Luping, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam. Kulia ni Katibu wa NEC Siasa na Uhuisnao wa Kimataifa kanali Mstaafu Ngemela Lubinga.
 TWENDE HUKU, Lubinga akionyesha njia ya kwenda mgeni.
Lubinga na Polepole wakimuongoza Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Xu Luping, kwenda kukutana na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
 Mgeni akiwa na Polepole.
 Polepole akiendelea kumuongoza mgeni.
 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula akimsubiri kwa hamu mgeni.
 Makamau Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula akimkaribisha Naibu Waziri za Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Xu Luping, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam. Katikati ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole.
 Makamau Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula akimkaribisha Naibu Waziri za Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Xu Luping, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, Katikati ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole.
 Mzee Mangula na Mgeni wakiingia ukumbi wa mazungumzo.
 Mangula na Lubinga wakiwaonyesha wageni eneo la kuketi kwa ajili ya kuanza mazungumzo.
 Karibuni jamani wageni wetu. Mzee Mangula akimwambia mgeni kutoka Ubalozi wa China aliyeambatana na Naibu Waziri huyo wa CPC.
 Ujumbe wa CPC kwenye mazungumzo.
 Makamau Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula (kulia) akiongoza mazungumzo  baina yake na Naibu Waziri za Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Xu Luping (kulia) katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
 Makamau Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula (kulia) akiongoza mazungumzo  baina yake na Naibu Waziri za Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Xu Luping (kulia) katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
 Ujumbe wa CCM kwenye mazungumzo hayo.
 Maofisa wa CCM kwenye mazungumzo hayo.
 Maofisa wa CCM kwenye mazungumzo hayo. 
 Makamau Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula (kulia) akimkabidhi zawadi maalum Naibu Waziri za Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Xu Luping (kulia) katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
 Makamau Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula (kulia) akizawadiwa na Naibu Waziri za Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Xu Luping (kulia) katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
 Mangula akizifurahia zawadi hizo.
 Akimshuku kwa zawadi.
 Mangula akimsindikiza mgeni wake. Kushoto ni Polepole na kulia ni Lubinga
 Byeee na karibu tena, Mangula akimuaga mgeni kabla ya mgeni huyo kuondoka rasmi kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba  Dar es Salaam. PICHA NYINGI ZAIDI/>BOFYA HAPA

No comments: