Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa
gwaride wa Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, tayari kutunuku kamisheni kwa maafisa wanafunzi 192
waliohitimu chuoni hapo.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la
maafisa wanafunzi katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, kabla ya kuwakutunuku kamisheni maafisa
hao 192 waliohitimu chuoni hapo.

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa jukwaa kuu na maafisa wakuu wa jeshi.
Gwaride la maafisa wanafunzi katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi
Monduli, wakati wa kuwakutunuku
kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitunuku kamisheni kwa
maafisa wanafunzi 192 katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli,
Arusha,
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua
rasmi kamtaba ya kisasa katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli,
Arusha, baada ya kuwakutunuku kamisheni
maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete
wakitembelea bweni namba 15 ambamo Rais Kikwete alikuwa akiishi wakati
akiwa mafunzoni hapo katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli,
Arusha, kabla ya kuwakutunuku kamisheni
maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo.
Rais Jakaya Kikwete na wakuu wa Jeshi wakipita mbele ya Library aliyoifungua na kupewa jina lake.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete
wakitembelea bweni namba 15 ambamo Rais Kikwete alikuwa akiishi wakati
akiwa mafunzoni hapo katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli,
Arusha, kabla ya kuwakutunuku kamisheni
maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo
Mheshimiwa Rais naomba kukupiga picha msichana Shalom anamwambia Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Chuo Cha Mafunzo ya
Kijeshi Monduli, Arusha, baada ya
kuwakutunuku kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo.(PICHA NA IKULU).
No comments:
Post a Comment