KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Saturday, December 15, 2012

RAIS KIKWETE KATIKA HAFLA YA MWAKA YA CONFEDERATION OF TANZANIA INDUSTRIES (CTI)

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Distilleries Bw David Mgwassa kombe la
ushindi wa mwaka wa uzalishaji bora nchini katika hafla ya Shirikisho la Wenye Viwanda nchini  (CTI). Kulia ni Mwenykiti wa makampuni ya IPP Dkt. Rginald Mengi na Kushoto ni Bw. Arnold Kileo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Distilleries Bw David Mgwassa kombe la
ushindi wa mwaka wa uzalishaji bora nchini katika hafla ya Shirikisho la Wenye Viwanda nchini  (CTI).

 Mzee Arnold Kileo akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Distilleries Bw David Mgwassa kwa kutwaa kombe la
ushindi wa mwaka wa uzalishaji bora nchini katika hafla ya Shirikisho la Wenye Viwanda nchini  (CTI).
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa nyanja mbalimbli za uzalishaji bora nchini katika hafla ya Shirikisho la Wenye Viwanda nchini  (CTI).
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wafanyakazi na wadau wa  Tanzania Distilleries bada ya kunyakua   kombe la
ushindi wa mwaka wa uzalishaji bora nchini katika hafla ya Shirikisho la Wenye Viwanda nchini  CTI. (PICHA NA IKULU)

No comments: