Vijana Jazz, Kulia ni, Saburi Athumani (Kiongozi wa bendi), Abdallah
Mgona Hazelu (Katibu wa bendi), Nuru Mhina 'Baby Whiye' na Roshi
Mselela, wakiimba.
Shabiki Eddy Mlaponi na patna wake wakijimwaya mwaya.
Kiongozi wa Vijana Jazz Saburi Athuman, akiimba katika onyesho.
Katibu wa Bendi Abdallah Mgona Hazelu akiimba.
Nuru Mhina 'Baby White' akiimba kibao cha Wifi zangu Mna mambo' cha bendi hiyo.
Roshi Mselela.
Mohamed Kanduru akionyesha umahiri wake wa kupuliza tarumbeta.
No comments:
Post a Comment