Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Siasa na Uhusiano wa
Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro (kushoto) akizungumza na Balozi wa
Vietnam hapa nchini Nguyen Duy Thien, katika Ofisini Ndogo ya Makao
Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba Dar es Salaam, Wapili kulia ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Martine
Shigela ambaye alijumuka katika mazungumzo hayo. Wengine ni Maofisa wa
Makao Makuu ya CCM.
Balozi wa Vietnam hapa nchini Nguyen Duy Thien (kushoto) akimkabidhi
zawadi maalum, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Siasa na
Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, baada ya mazungumzo yao
yaliyofanyika, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu
ya CCM, Mtaa wa Lumumba Dar es Salaam.
(Picha zote na Bashir
Nkoromo)
No comments:
Post a Comment