Naibu
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,Ummy Mwalimu, akizungumza na
wana Azaki wakati wa tamasha la kumi na moja la miaka kumi ya Foundation for
Civil Society (FCS) pamoja na kukabidhi tuzo kwa Asasi bora Dar es Salaam juzi
usiku.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Foundation for Civil Society, John Ulanga (kushoto) akikabidhi tuzo
ya mshindi wa jumla ya AZAKI Mfadhiliwa Bora kwa Mkurgenzi Mtendaji wa Asasi ya
Mkombozi, Edward Nfulagani wakati wa tamasha la kumi na moja la miaka kumi ya asasi
hiyo pamoja na kukabidhi tuzo kwa Asasi bora Dar es Salaam juzi usiku.
Mjumbe
wa Bodi ya Foundation for Civil Society (FCS), Mary Rusimbi (kushoto)
akikabidhi tuzo ya Mshindi wa tatu wa Asasi Bora kwa Katibu Mtendaji wa asasi
ya Saidia Wazee wa Tanzania (SAWATA Kasulu), Clotilda Kokupima wakati wa tamasha
la kumi na moja la miaka kumi ya asasi hiyo pamoja na kukabidhi tuzo kwa Asasi
bora Dar es Salaam juzi usiku.
Mjumbe
wa Bodi ya Foundation for Civil Society (FCS), Mary Rusimbi (kushoto)
akikabidhi tuzo ya Mshindi wa tatu wa Asasi Bora kwa Katibu Mtendaji wa asasi
ya Saidia Wazee wa Tanzania (SAWATA Kasulu), Clotilda Kokupima wakati wa tamasha
la kumi na moja la miaka kumi ya asasi hiyo pamoja na kukabidhi tuzo kwa Asasi
bora Dar es Salaam juzi usiku.
Naibu
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto) akikabidhi
tuzo ya Mshindi wa Jumla wa Asasi Bora za Kiraia kwa Naibu Katibu wa Jumuiya ya
kuelimisha athari za madawa ya kulevya, ukimwi na mimba katika umri mdogo
(JUKAMKUM- Pemba), Nassor Ali Haji na Mratibu wa Jumuiya hiyo, Hafidh Abdi
Saidi (kulia) wakati wa tamasha la kumi na moja la miaka kumi ya Foundation for
Civil Society (FCS), pamoja na kukabidhi tuzo kwa Asasi bora Dar es Salaam juzi
usiku.
Naibu
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu (katikati) na Rais
wa Foundation for Civil Society (FCS), Dk. Stigmata Tenga (kushoto kwake) wakiwa
kwenye picha ya pamoja na washindi wa tuzo mbalimbali za Asasi Bora wakati wa
Tamasha la kumi na moja la miaka kumi ya the Foundation for Civil Society (CFS)
na kukabidhi tuzo kwa asasi hizo, Dar es Salaam juzi usiku.
Wasanii
wa kikundo cha sanaa cha Afrikanashe wakitumbuiza wakati wa Tamasha la kumi na
moja la miaka kumi ya the Foundation for Civil Society (CFS) na kukabidhi tuzo
kwa asasi hizo, Dar es Salaam juzi usiku.(PICHA
ZOTE NA MPIGAPICHA WETU)
No comments:
Post a Comment