Makamu wa Rais Dk. Mohammed
Gharib Bilal (kulia) akimkabidhi cheti Mkurugenzi Mtendaji, Huduma Shirikishi
wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka kutokana na kudhamini sherehe za utoaji wa
Tuzo za Mwajiri Bora wa Mwaka (EYA 2013) zilizofanyika jijini Dar es Salaam,
mwishoni mwa wiki.
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka (kushoto) akimkabidhi, Naibu
Mkurugenzi Mtendaji, Huduma Shirikishi wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka Tuzo ya
Fedha ya ushindi wa pili ya Mwajiri Bora wa Mwaka (EYA 2013), iliyoshinda benki
hiyo. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Rasirimali Watu wa benki, Timoth Fasha.
Sherehe hizo zilifanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment