KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Friday, December 6, 2013

SERIKALI,NSSF YAFANYA MKUTANO NA WANAODAIWA KUKIUKA KANUNI NA SHERIA KATIKA ZOEZI LA UTHAMINI ENEO LA UJENZI WA BARABARA KUELEKEA DARAJA LA KIGAMBONI KATA YA VIJIBWENI DAR ES SALAAM.

 Sehemu ya Nguzo lilizopo upande wa Vijibweni.
 Mafundi wakiendelea na ujenzi wa moja ya Nguzo.
 Moja ya Nguzo upande wa Vijibweni.
 Hawa ndiyo sehemu ya watu wanne wakazi wa Vijibweni wanaodaiwa kupinga kufanyiwa Uthamini ili ujenzi wa Barabara uendelee kwa wakati uliopangwa,Kutoka kushoto ni Abass Sabukuru,Hadia Hamisi Jumaa na Fahidhi Twaha Hassan (Kenge) na mwengine wa nne Yahaya Msambya (hayupo pichani).
 Mwanasheria wa wakazi wanne wa Vijibweni wanaodaiwa kupinga Uthamini,Shamshudini Ali Ahamed (kulia) akizungumza wakati wa mkutano wa Viongozi wa Serikali na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF ambao wanashirikiana na serikali kujenga daraja hilo.
 Meneja Mradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF Mkandarasi Karim Mattaka,(katikati) akionesha ramani ya Eneo la Mradi Kigamboni Vijibweni.Kusshoto ni Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano Eunice Chiume na Afisa Mthamini Mkuu Ofisi ya Mthamini Mkuu wa Serikali Adam Yusuf.
 Afisa Mtendaji  Kata ya Vijibweni Tarafa ya Kigamboni, Kiwia Ninalwo (kulia) akizungumza wakati wa mkutano.Mwengine Afisa Tarafa Salum Chitale.
 Moja ya Nyumba inayodaiwa kumilikiwa  na Yahaya Msambya ambaye anapinga kufanyiwa Uthamini.
 Nyumba ndogo inayodaiwa  kumilikiwa na Fahidhi Twaha Hassan (Kenge)
 Nyumba sehemu mbele ambayo haijamalizika inayodaiwa  kumilikiwa na Fahidhi Twaha Hassan (Kenge)
 Afisa Mthamini Mkuu Ofisi ya Mthamini Mkuu wa Serikali Adam Yusuf.akionesha nyumba inayodaiwa ya Fahidhi Twaha Hassan (Kenge)
  Afisa Mthamini Mkuu Ofisi ya Mthamini Mkuu wa Serikali Adam Yusuf,akihojiwa na Mtangazaji wa ITV Ufuo Saro.(hayupo pichani)
  Afisa Mthamini Mkuu Ofisi ya Mthamini Mkuu wa Serikali Adam Yusuf,akihojiwa na Mtangazaji wa ITV Ufuo Saro.
 Sehemu ya Barabara inayotoka katika daraja kuelekea eneo la Vijibweni akiwa na Chanagarawe
Eneo llililozungukwa na Michongoma linaldaiwa ni kikwazo katika ujenzi wa barabara ya kuelekea Vijibweni linalomilikiwa na Hadia Hamisi Jumaa.

No comments: