Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maali Seif
Shariff Hamad katika picha ya pamoja na wenyeviti wa vyama vya siasa
baada ya kufungua mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maali Seif Shariff Hamad katika picha ya
pamoja na Makatibu Wakuu wa vyama vya siasa baada ya kufungua mkutano
wa Baraza la Vyama vya Siasa katika Ukumbi wa
Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.

Sehemu ya viongozi wa vyama mbalimbali vya
siasa wakiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano wa Baraza la Vyama vya
Siasa katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere
jijini Dar es salaam.
Sehemu ya viongozi wa vyama mbalimbali vya
siasa wakiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano wa Baraza la Vyama vya
Siasa katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere
jijini Dar es salaam.(Picha na Issa Michuzi).
No comments:
Post a Comment