Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikabidhi kadi ya CCM kwa mmoja wa
wanachama wampya wa CCM Geofrey Mbwaga, katika kikao cha shina
kilichofanyika nyumbani kwa balozi wa shina namba tano, tawi la Nsimbo,
Joseph Wavuu, wilaya ya Mlele mkoani Katavi, leo, Aprili 16, 2014, akiwa
katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa
ilani ya Chama wilayani humo
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza katika kikaocha shina
kilichofanbyika nyumbani kwa balozi wa shina namba tano, tawi la Nsimbo,
Joseph Wavuu (wapili kulia), wilayani Mlele mkoani Katavi, , leo,
Aprili 16, 2014, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na
kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama wilayani humo
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Mjumbe wa Shina
namba tano, Mzee Aarom Kasilo, wakati wa kikao kilichohudhuriwa na
Kinana nyumbani kwa balozi wa shina hilo, tawi la Nsimbo, Joseph
Wavuu, leo, Aprili 16, 2014, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa
Chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama wilayani humo
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa chumba cha maabara
kwenye shule ya sekondari Mtapenda, iliyopo katika Halmashauri ya
Nsimbo wilaya ya Mlele mkoani Katavi, , leo, Aprili 16, 2014, akiwa
katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani
ya Chama wilayani humo.
Katibu
Mkuu, Abdulrahman Kinana akipanda mti baada ya kuzindua ujenzi wa
chumba cha maabara shule ya sekondari Mtapenda, Halmashauri ya Nsimbo
wilaya ya Mlele mkoani Katavi, leo, Aprili 16, 2014, akiwa katika ziara
ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama
wilayani humo.
Mjumbe
wa NEC, Balozi Ali Karume akipanda mti wakati wa uzinduzi wa ujenzi
maabara shule ya sekondari Mtapenda, uliofanywa na Kinanakatika
Halmashauri ya Nsimbo wilaya ya Mlele mkoani Katavi, leo, Aprili 16,
2014, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua
utekelezaji wa ilani ya Chama wilayani humo
Kinana
akishiriki kufyatua matofali ya ujenzi wa kisima cha maji katika Kijiji
cha Mwenge, katika Halmashauri ya Nsimbo, leo, Aprili 16, 2014, akiwa
katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani
ya Chama wilayani humo
Kinana
akibeba tofali baada ya kulifyatua waliposhiriki kufyatua matomali kwa
ajili ya mradi wa ujenzi wa kisima cha maji wa kijiji cha Mwenge, katika
Halmashauri ya Nsimbo, leo, Aprili 16, 2014, akiwa katika ziara ya
kuimarisha uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama
wilayani humo
Taswara ya Kisima kinachojengwa katika Kijiji cha Mwenye, Nsimbo
Kinana
akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mwenge baada ya kushinriki ujenzi
wa kisima cha mradi wao wa maji katika kijiji hicho, leo, Aprili 16,
2014, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua
utekelezaji wa ilani ya Chama wilayani humo.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua kiwanja yatakakojengwa Makao
Mkuu ya wilaya mpya ya Mlele, eneo la Inyonga mkoani Katavi, leo,
Aprili 16, 2014, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na
kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama wilayani humo
Kinana na Nape wakiongoza msafara kutoka eneo la tukio, baada ya kuzindua ujenzi wa Ofisi hiyo ya CCM
Kinana akizindua ujenzi nyumba 60 zitakazojengwa na Shirika la Nyumba la taifa (NHC) Inyonga, wilaya mpya ya Mlele
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimwagilia matofali, baada ya
kushiriki kufyatua matofali kwa ajili ya mradi wa ujenzi Ofisi ya CCM ya
Wilaya mpya ya Mlele, eneo la Inyonga, leo, Aprili 16, 2014, akiwa
katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani
ya Chama wilayani humo
Mbunge
wa viti maalum, Pudenciana Kikwembe akishiriki ufyatuaji huo wa
matofali kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi hiyo ya CCM wilaya ya Mlele
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akienda kulipanga mahala pake
baada ya kulifyatua tofali, aliposhiriki ufyatuaji wa matofali kwa ajili
ya mradi wa ujenzi Ofisi ya CCM, wilaya ya Mlele katika eneo la Inyonga
mkoani Katavi.
Kinana akisalimiana na watumishi wa Kituo cha Afya cha Inyonga, wakati wa ziara yake wilayani Mlele.
Mganga
Mkuu wa Kituo cha Afya cha Inyonga, Dk. Adis Koni akimpatia maelezo
Kinana na viongozi wengine wa chama na serikali kuhusu kucheleweshwa kwa
makusudi kituo hicho kukipa hadhi ya kuwa hospitali ya wilaya.
Ucheleweshwaji huo unafanywa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Kinana akioneshwa baadhi ya vifaa tiba vya kisasa vilivyotolewa msaada na Mbunge wa Jimbo la Katavi, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Inyonga,wilayani Mlele mkoani Katavi mapema jioni ya leo, Aprili 16, 2014, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama wilayani humo. Picha zote na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog
No comments:
Post a Comment