Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Mtwara ndugu Mohamed Sinani akikabidhi picha ya Baba wa Taifa Mwalimu
Nyerere kwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi Mzee Ali Mtopa na picha ya Rais wa
Kwanza wa Zanzibar Mheshimiwa Abeid Aman Karume kwa Mama Salma Kikwete
kuashiria muendelezo wa mbio za uzalendo za pikipiki kusherehekea miaka 50 ya
Mungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Makabidhiano rasmi yakiendelea huku mamia ya
wananchi waliofurika kushuhudia
wakishangilia .
Mjumbe wa NEC wa Lindi Mjini Mama Salma Kikwete
akiwasalimia wananchi wa Kijiji cha Madangwa na wageni waliohudhuria sherehe ya
kupokea mbio za pikipiki kwa Mikoa ya Kanda ya Kusini inayojumuisha Ruvuma,
Mtwara na Lindi katika kusherehekea miaka 50 ya Mungano.
Viongozi wa
juu wa Chama Cha Mapinduzi kutoka Mikoa ya Lindi na Mtwara wakiwa katika picha
ya pamoja mara baada ya kukabidhiana mbio za pikipiki kusherehekea miaka 50 ya
Mungano.
No comments:
Post a Comment