Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Lindi Mjini Mama Salma Kikwete
akipata maelezo ya mradi wa maji wa Kwamtokama ulioko Kata ya Chikonji
Wilayani Lindi kutoka kwa Mhandisi
Mshauri wa Kampuni ya Don Consult Limited Ndugu Ahmed Salum (kulia) huku baadhi
ya wananchi wakichota maji kuhusu utekelezaji wa mradi. Mradi huo
utakapokamilika utanufaisha wananchi waishio katika vijiji vinne vilivyopo
katika kata hiyo ambavyo ni Chikonji Kaskazini na Kusini, Jangwani na Nanyanje
vyenye wakazi wapatao 7000.

Mke wa Rais
na Mjumbe wa NEC Taifa kutoka Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akiongea na baadhi
ya wananchi wa Kijiji cha Chikonji Kusini waliofika kuchota maji baada ya Mama
Salma kutembelea chaqnzo hicho.(PICHA NA JOHN LUKUWI).
No comments:
Post a Comment