Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda (wa pili kushoto),Diwani wa Kata ya Mabwepande Clement Boko (kushoto) Naibu Meya Songoro Mnyonge (wa pili kulia) na Meja Jenerali Dk,Charles Muzanila (kulia) wa Shirika la
Ujenzi la Mzinga,wadau wakiwa katika sherehe ya kusaini mkataba wa Ujenzi wa Daraja linalounganisha Mabwepande na Kitongoji cha Kikwete Visheni.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda (katikati)
akisaini mkataba wa Ujenzi wa daraja la Mabwepande kwenda Kitongoji cha Kikwete
Vision Mji Mpya na Meja Jenerali Dk,Charles Muzanila (kulia) wa Shirika la Ujenzi la Mzinga na Diwani wa Kata ya Mabwepande,Clement Boko (kushoto) huku
wadau wakishuhudia.Sherehe ya kusaini ilifanyika eneo la ujenzi.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda
(pili kulia) wakibadilishana nyaraka baada ya kutia saini ya ujenzi wa Daraja na Meja Jenerali Dk,Charles Muzanila (kulia) wa Shirika
la Ujenzi la Mzinga na Diwani wa Kata ya Mabwepande,Clement Boko
(kushoto) akishuhudia.
Hili ndiyo eneo linalotarajiwa kujengwa Daraja Upande zinakoonekana nguzo za umeme Mabwepande na kwenye watoto ni Kitongoji cha Kikwete Visheni.
Eneo la bonde lenye mto litakapo pita Daraja.
No comments:
Post a Comment