Mke wa
Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi anayewakilisha Lindi
Mjini Mama Salma Kikwete akiongea na viongozi wa CCM wa Tawi la Ufukoni katika
Kata ya Rahaleo huko Lindi Mjini.Mama Salma Kikwete yupo wilayani Lindi kwa
ziara ya kikazi ya siku 5.

Mke wa Rais
na Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama Cha Mapinduzi anayewakilisha Lindi Mjini Mama
Salma Kikwete akikaribishwa na Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya cha Lindi Mjini
Dk. Zulfa Msami wakati Mama alipotembelea kituo hicho.
Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete akimwangalia mtoto mwenye umri wa siku 2 aliyeshikwa na Mama
yake Sharifa Ali,19, wakiati Mama Salma alipotembelea kituo cha Afya cha Lindi.
Mke wa
Rais na Mjumbe wa NEC Taifa anayewakilisha Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akiwa
amempakata mtoto Adaita Hamis mwenye umri wa siku 1 aliyezaliwa katika Kituo
cha Afya cha Lindi Mjini huku akiongea na mama wa mtoto huyo
Bibi Zanida Ismail,42, anayeishi Mtaa wa Benki huko Lindi Mjini wakati Mama
Salma alitembelea kituoni hapo.
Mke wa
Rais na Mjumbe wa NEC Taifa anayewakilisha Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akiwa
amempakata mtoto Adaita Hamis mwenye umri wa siku 1 aliyezaliwa katika Kituo
cha Afya cha Lindi Mjini huku akiongea na mama wa mtoto huyo
Bibi Zanida Ismail,42, anayeishi Mtaa wa Benki huko Lindi Mjini wakati Mama
Salma alitembelea kituoni hapo.(PICHA NA JOHN
LUKUWI).
No comments:
Post a Comment