KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Tuesday, February 10, 2015

MOTO WAENDELEA KUZITESA NYUMBA ZA DAR ES SALAAM.

 Jengo hili lililopo Mitaa ya Mosque Plot no-1809/88  na Libya Plot no 1375/88  eneo la Kisutu Manispaa ya Ilala, Jijini Dar es Salaam limeungua  moto floor ya pili (2) hakuna kilichotoka.
 Nyumba imkiendelea kushika moto huku wapigapicha wa vyombo mbalimbali vya habari wakiangaika.
 Wafanyakazi wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji wakimwaga maji huku wananchi wakiangalia mtaa wa Mosque.
  Wananchi wakiangalia moto mtaa wa Mosque.
 Wafanyakazi wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji wakimwaga maji kwa lengo la kuzima moto.
 Moto ukishika kasi.

 Moto ukiwaka kwa hasira.
 Sehemu ya magari ya Vikosi vya Zimamoto na Uokoaji yakiwa kazini na kuna magari kama mawili yaliishiwa maji na kuondoka eneo la tukio.
  Wafanyakazi wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji wakijipanga.
 Wafanyakazi wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji wakisambaza maji.
 Moshi mkubwa ukitanda kifuatacho moto mkali.
 Wananchi wakifuatilia moto unavyowaka.
 Moto ukishika kasi.
 Askari wakiimarisha ulinzi eneo la tukio.
 Wananchi wakichukua picha na vikamera vya simu zao.
 Askari wa kikosi cha Zimamoto na Uokoaji akipiga picha kwa kutumia simu yake.
 Gari la Zimamoto na Uokoaji likiwa mbele ya Jengo linaloungua.
Wahusika katika Jengo wakionesha moto unavyowaka.

No comments: