Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Ombeni Sefue(Wasita kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa
Tume ya Utumishi wa Umma muda mfupi baada ya Rais kuwaapisha ikulu jijini Dar
es Salaam.Kutoka kushoto Bibi Salome Mollel(Kamishna),Bibi
Evelyne Itanisa(Kamishna),Bw. Mgeni Mwalimu Ally(Kamishna),Mwenyekiti wa Tume
Dkt.Stephen James Bwana, Bwana George Yambesi (Kamishna),Bwana Yahya Fadhili
Mbila(Kamishna) na Bibi Adieu Nyondo(Kamishna)(Picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment