Askari wa Zimamoto na Uokoaji wakishughulika baada ya kufanikiwa kuzima moto ambao haukusambaa sehemu nyingine.
Wanausalama wakiimalisha ulinzi katika tukio.
Wanausalama wakihakikisha hakuna kibaka eneo hilo.
Wahusika wakioneshana moja ya vitu vilivyoungua.
Gari la kuzima moto na Uokoaji likiwa pembeni baada ya kufanikiwa kuzima moto sehemu hiyo.
Mmoja wa wahusika akitoka ndani ya Duka.
Wahusika wakitoka ndani ya duka lililoteketea kwa moto.
No comments:
Post a Comment