Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi kuhusu operesheni tokomeza Jaji(Mstaafu)
Balozi Hamisi Amiri Msumi akimkabithi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
Ripoti ya Uchunguzi wa Tume hiyo katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam. Rais Kikwete aliiteua tume hiyo mwaka jana
kuchunguza tuhuma za uvunjifu wa sheria katika utekelezaji wa operesheni
hiyo.
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume ya Uchunguzi wa operesheni Tokomomeza Ikulu (Picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment