Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza kwa makini maelezo aliyokuwa
akipewa na Waziri Mkuu Ndugu Mizengo Pinda mara tu baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea
nchini Uingereza. Rais Kikwete alirejea nchini tarehe 18.6.2013 usiku
baada ya ziara ya kikazi nchini Uingereza.(PICHA NA JOHN LUKUWI).
No comments:
Post a Comment