Enitha Kibibi Lwitiko (14) Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kigogo kidato cha pili.
Enitha Kibibi Lwitiko (14) Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kigogo kidato cha pili anaishi na mama yake Waide Kibibi,wanalala katika Viwanja vya Tanganyika Pakers na kuendesha maisha yao hapo.Alikuwa na wadogo zake wawili wamekufa pamoja na baba yao wamebakia wao wawili hawana mahali pa kuishi.Wanaomba msaada kwa wananchi watakaoguswa na Habari hizi.Piga simu ya Mama Kibibi 0718 171416 kwa msaada wenu. Pia mtoto huyu anasumbuliwa na ugonjwa wa ngozi kama anavyoonekana picha wasaidieni hawa watu MUNGU ATAWALIPA MBELE HAKI KESHO.
No comments:
Post a Comment